Ads

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, katika mazishi ya Mfanyabiashara na Mwanazuoni maarufu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi) yaliyofanyika jana Novemba 29, 2019 Makaburi ya Msasani Dar es Salaam!


    

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipeana mkono na Mjomba wa Marehemu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi) aliyekua  Mfanyabiashara na Mwanazuoni Maarufu,  wakati akiwasili kwenye makaburi ya Msasani jijini Dar es Salaam, kuongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, katika mazishi ya Mfanyabiashara na Mwanazuoni huyo, jana Novemba 29, 2019.

Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, wakiustiri mwili wa aliyekua  Mfanyabiashara na Mwanazuoni maarufu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi), kwenye makaburi ya Msasani jijini Dar es Salaam, jana Novemba 29, 2019.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekua Mfanyabiashara na Mwanazuoni maarufu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi), wakati alipoongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kwenye mazishi hayo, yaliyofanyika katika makaburi ya Msasani jijini Dar es Salaam, jana Novemba 29, 2019.

 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi, akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekua Mfanyabiashara na Mwanazuoni maarufu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi), wakati alipoongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kwenye mazishi hayo, yaliyofanyika katika makaburi ya Msasani jijini Dar es Salaam, jana Novemba 29, 2019. Kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiongea na wananchi baada ya mazishi ya aliyekua Mfanyabiashara na Mwanazuoni maarufu, Alhajj Aziz Masanga (Zingizi), kwenye makaburi ya Msasani jijini Dar es Salaam, jana Novemba 29, 2019.(Picha zote na ofisi ya waziri mkuu)

 

 

    

No comments