Ads

DC APSON AKAGUA KITUO CHA AFYA, ZAHANATI MWANGA

Na Mwandishi Maalum, Mwanga



 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Tom Apson, akikagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mwirange, Kata ya Mwanga hivi karibuni wakati wa ziara ya kutembelea vituo vya afya na zahanati.



 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Tom Apson, akisaini kwenye kitabu cha wageni alipokwenda kukagua Kituo cha Afya cha Mwirange, Kata ya Mwanga hivi karibuni wakati wa ziara ya kutembelea vituo vya afya na zahanati.



  DC Apson akiwa na wauguzi pamoja na Diwani Salim Marijani wakati wa ziara hiyo.



 DC Apson akikagua chumba cha kupumzikia wagonjwa katika Zahanati ya Kisangiro wakati wa ziara yake



 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Tom Apson (kulia), akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kisangiro, Dk. Rehema Msuya kwenye stoo ya kuhifadhia dawa.

DC Apson akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Mama Wajawazito.


No comments