Ads

Diamond Platinumz na timu yake ya Wasafi kuivamia Kigoma kwa treni ya Deluxe Desemba 28, 2019!

Mwanamuziki Baba lao Naseeb Abdul Juma aka Diamond Platinumz akiwa na timu yake ya Wasafi atatumia usafiri wa treni ya Deluxe ya TRC kusafiri hadi Kigoma kwenda kutumbuiza na kuamkua jamaa na marafiki hapo Desemba 27, 2019!


No comments