MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMATATU DESEMBA 30, 2019
Asalaam Aleykum Mwanazengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Dar es Salaam au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Desemba 30, 2019. Leo ni siku ya kazi na Jumatatu ya mwisho ya mwaka 2019! Tunakutakia Jumatatu njema!
Post a Comment