MELI MPYA YA MV MBEYA IMETIA NANGA MATEMA BEACH

Meli mpya kabisa ya MV MBEYA imetia nanga Matema Beach, Ziwa Nyasa kwa mara ya kwanza leo ikiwa katika majaribio.Meli hii imetengenezwa na kampuni ya kizalendo ya Songoro Marine Transport Ltd ya Mwanza, Ujenzi wa Meli hii ni sehemu ya ahadi mbalimbali za Rais Dkt John Magufuli

Wananchi wakiwa wamefika kushuhudia Meli mpya kabisa ya MV MBEYA imetia nanga Matema Beach, Ziwa Nyasa kwa mara ya kwanza leo ikiwa katika majaribio.Meli hii imetengenezwa na kampuni ya kizalendo ya Songoro Marine Transport Ltd ya Mwanza, Ujenzi wa Meli hii ni sehemu ya ahadi mbalimbali za Rais Dkt John

Post a Comment