Ads

HABARI KATIKA PICHA: SPIKA JOB NDUGAI, AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA BODI YA UWEKEZAJI YA CHAMA CHA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA (CPA) KILICHOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akizungumza kabla ya Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Tanzania.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Nabimia na Mwakilishi wa CPA Kanda ya Kusini, Mhe. Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi (kushoto), kabla ya Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Job Ndugai, akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Namibia na Mwakilishi wa CPA Kanda ya Kusini,Mhe.Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi(kushoto), mara ya kuwakaribisha Katika Ofisi ndogo za Bunge zilizoko Jijini Dar es Salaam, kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Namibia na Mwakilishi wa CPA Kanda ya Kusini, Mhe. Benard Sibalatani (Kulia) na Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi(kushoto), mara ya kuwakaribisha Katika Ofisi ndogo za Bunge zilizoko Jijini Dar es Salaam, kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akiendesha Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akiendesha Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akizungumza kwenye  Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akizungumza kwenye  Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Mwakilishi wa CPA kutoka Afrika Mashariki(Kenya), Dkt.Makali Mulu, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Mweka Hazina Msaidizi wa CPA, kwa kanda ya Afrika, Mhe. Elijah Okupa, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania.


Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa CPA Kanda ya Afrika, Mhe. Justine Muturi, akizungmza kwenye Kikao Cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA), kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Tanzania. 

(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO)


No comments