JPM AWASILI DAR LEO JANUARI 09, 2020 AKITOKEA MAPUMZIKONI CHATO!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili akitokea mapumzikoni Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 9, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakitokea mapumzikoni Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 9, 2020
Post a Comment