Ads

MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA  YA LEO JUMATANO JANUARI 15, 2020!




Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 15, 2020. Leo ni  Jumatano ambayo kwa uhakika ni ya  tatu kwa mwaka mpya wa 2020! Nakutakia Kazi Njema!





 
     
     
  



 




No comments