MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JANUARI 03, 2020
Asalaam Aleykum Mwanazengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Dar es Salaam au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 03 2020. Leo ni siku ya kazi na Ijumaa ya kwanza ya mwaka 2020! Nakutakia IJUMAA KAREEM!
Post a Comment