MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMAMOSI FEBRUARI 01, 2020
Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Februari 01, 2020. Leo ni Jumamosi ya kwanza kwa mwezi huu wa Februari kwa mwaka mpya wa 2020! Nakutakia Wikendi Njema!
Post a Comment