Rais Dkt Magufuli leo Januari 23, 2020 atafungua majengo ya makazi ya Askari Magereza wa Gereza la Ukonga Jijini Dar es Salaam!
Rais Dkt Magufuli leo Januari 23, 2020 atafungua majengo ya makazi ya Askari Magereza wa Gereza la Ukonga Jijini Dar es Salaam!
Novemba 29, 2016 aliagiza kutolewa kwa shilingi Bilioni 10 kwa ajili ya kutatua tatizo la makazi la Gereza hilo baada ya askari hao kuomba wasaidiwe.
Sherehe za ufunguzi huo zitarushwa mubashara kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 3 asubuhi hii.
HapaKaziTu!
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN!
Post a Comment