Ads

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS KWENYE SHEREHE YA KUAPISHWA RAIS WA MSUMBIJI, FILIPE NYUSI!



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 14, 2020 ameondoka nchini kwenda Msumbiji, ambako atamwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye Sherehe ya kuapishwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Benjamin Mkapa, ambaye pia yupo katika msafara huo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Benjamin Mkapa, wakati akiondoka nchini, katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kuelekea Msumbiji kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye  Sherehe ya kuapishwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Januari 14, 2020. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments