Ads

(HABARI KATIKA PICHA) MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA USALAMA NA MAADILI PAMOJA NA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Usalama na Maadili kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam. Februari 12, 2020.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CC) kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam. Februari 12, 2020.

No comments