MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMAPILI FEBRUARI 16, 2020
Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Februari 16, 2020. Leo ni siku ya Jumapili nakutakia MAPUMZIKO MEMA..Mmmmh Mnyama kama Liverpool. WAPE SALAAAM!
Post a Comment