MWANAHABARI DK KAANAELI KAALE ATIA NIA KUGOMBEA JIMBO LA VUNJO!
Zaidi ya Dk Kaale wengine waliotia nia kugombea majimbo mbalimbali ni: Kinjeketile Ngombale Mwiru jimbo la Kilwa Kaskazini na Msanii Steven Mengele aka Steve Nyerere jimbo la Iringa Mjini. Hali kadhalika kuna Kada Dk Gissenge Lija ametia nia kugombea jimbo la Kibamba!
Post a Comment