Ads

TANZANIAN SELECTED PRINT MEDIA PREVIEW OF JULY  24, 2020(MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA  YA LEO IJUMAA JULAI 24, 2020).  



SERIKALI IMETANGAZA SIKU SABA ZA MAOMBOLEZO KUANZIA LEO KUFUATIA KIFO CHA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU NDUGU BENJAMIN WILLIAM MKAPA!
MAEZ HABARI BLOG INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KATIKA MAOMBOLEZO YA MSIBA HUU MKUBWA WA KITAIFA NA KUMUOMBEA KWA MOLA  AMJAALIE MALAZI MEMA PEPONI MZEE WETU NA KIONGOZI WETU BENJAMIN WILLIAM MKAPA- AMINA!






Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Julai 24, 2020. Leo ni  Ijumaa siku ya kazi! Pia  Nakutakia  JUMMAH KAREEM !













 





FOR FURTHER INFORMATION AND BUSINESS ENQUIRIES PLEASE  CONTACT THE FOLLOWING MOBILE NUMBERS:
+255713415038/786948692/757224489
EMAIL: maezhabari@gmail.com


No comments