NYARAKA ZA ZABUNI ZIANDALIWE KWA UMAKINI MKUBWA KUEPUKA MKATABA MBOVU!
Utayarishaji wa nyaraka za zabuni ni mchakato nyeti ambao unapaswa kuzingatiwa na Idara mtumiaji na Sekereteriati ya Manunuzi ya Taasisi yeyote ya umma. Hii ni kukidhi matakwa ya Uongozi unaozingatia Utawala bora na kupata huduma au bidhaa inayolingana na thamani fedha iliyotumika kuigharimia...Mafunzo ya zaidi ya saa 15 yalihudhuriwa na Wakuu wa Idara na Vitengo vya TRL ambapo walikabidhiwa vyeti vya kuhudhuria..na kukabidhiwa aliyekuwa akikaimu nafasi ya Mtendaji Mkuu wa TRL Mhandisi Albert L. Magandi hivi karibuni..makao makuu ya TRL jijini Dar es Salaam..habari zaidi katika picha...
Post a Comment