Ads

TRENI YA DELUXE NAYO IMESHAPITA KATIKA DARAJA LA MAZIMBU!

Hatimaye baada ya kufunguliwa njia treni mbili za abiria zimeshapita katika daraja lililokuwa likikarabatiwa tokea juzi katika eneo kati ya vituo vya Mazimbu na Morogoro!

Treni ya kwanza ilikuwa ya kutoka bara kwenda Dar es Salaam na ya pili ya Deluxe kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma.
Kukamilika kwa kazi ya ukarabati wa daraja hilo kulitangazwa na Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Nd Focus Sahani mapema leo katika daraja hilo alipozungumza na Waandishi wa Habari!

No comments