Ads

RATIBA YA TRENI YA DELUXE KWENDA NA KURUDI KIGOMA!

Ratiba ya treni ya abiria ya kwenda na kurudi Kigoma, Dar es Salaam huondoka kila Alhamis saa 2 asubuhi. Wakati safari ya kurejea Dar es Salaam kutoka Kigoma ni kila siku ya  Jumamosi saa 2 asubuhi.

3 comments:

  1. Morning..
    I need the time table of tran from dar to kigoma..
    Second class

    ReplyDelete
  2. Naomba kufahamishwa namn ya kulipia nauli kupitia online

    ReplyDelete
  3. jamani naombeni mnisaidie ratiba ya treni ya kutoka dar es salaam kupitia makambako inaondka dar es salaam siku ganijamani naombeni msaada wenu

    ReplyDelete