MPANGO WA KUPOTEZA MBEGU ZA ASILI NA KUTULETEA MBEGU ZA GMO
Lakini hizo mbegu zetu zipo kwenye “serious existential war”.
Hizi mbegu zinazoitwa za kisasa, ni mbegu ambazo lengo lake ni kufuta Uhuru wa Mataifa wa Chakula; na hiyo maana yake kwa mwendelezo inafuta uhuru wa kila aina ambao Mataifa yanayo.
Na ujio wa kinasaba kinachoitwa “Epicyte gene” ambayo kazi yake ni kuwafanya wanaume wawe mahanithi na wanawake wagumba basi, “even our own existence - human existence is put in serious peril”.
Uhanithi unaoletwa na epicyte gene ni wa kutozaa, si kushindwa kufanya tendo la ndoa.
Na walio-“commercialize hizi mbegu za Epicyte ni Monsanto, Dupont na akina Bill Gates. Na wao ndio wenye kujua kuwa ni mbegu zipi zenye hiyo epicyte na wenye kuamua zipelekwe katika nchi zipi!!
Unauona huo mtego Mtani?
Mheshimiwa JPM anapotuhimiza Watanzania tuzaane hawa maharamia wanamcheka tu. Hawa maharamia wanasema kimoyomoyo “JPM utake usitake tutaweka ukomo kwenye kuzaana kwenu”.
Na kwa kutufanya tuingize nchini asilimia 60 hadi 70 ya mbegu zetu kutoka kwao, basi kucheka kwao si kwa bure. Watafanikiwa sana kwenye hilo lengo la kukomesha maisha ya watu wa dunia ya Tatu; na sisi wenyewe ambao ni ‘victims’ tukiwezesha huo mchakato.
Mtani, Utafiti uliofanywa na Serikali ya Austria kwenye mapanya (wale waliolishwa vyakula vya GMO tu, baada ya ‘generations’ tatu hao mapanya walikuwa “ absolutely sterile.”
Hayo yalitokea bila matumizi ya epicyte gene. Matumizi ya hii gene ni dhahiri yataharakisha ukomo wa kuzaana kwetu.
Kinachotakiwa kufanywa na wazalendo hapo nyumbani ni kuunga mkono marufuku ya kilimo hiki Tanzania iliyotolewa na Serikali hii mwezi Novemba 2018.
Kinachotakiwa kufanywa na wazalendo ni kuwaanika vibaraka wanaopigia chapuo kilimo hiki, haijalishi vyeo walivyo navyo Serikalini, Vyuo na Taasisi mbalimbali za kilimo au Vyama vya Siasa ni vibaraka tu hao - “and public enemies number one.”
mkali@live.co.uk.
Post a Comment