Changamoto za uhuru wa vyombo vya habari Afrika Mashariki
Changamoto za uhuru wa vyombo vya habari Afrika Mashariki!
Vyombo vya habari ni kiungo muhimu katika kuiimarisha demokrasia ya nchi. Je, upi mustakbali wa uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kutoa maoni na jamii huru Afrika Mashariki? Jiunge na washiriki wetu kutoka kulia pichani: Nevila Meena, Prosper Kwigize, David Omwoyo, Josephat Charo na Jan Achieng katika kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara.
Post a Comment