Ads

(Habari katika Picha)Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Dkt John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza jana Desemba 11,2019

  

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jana Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri  Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jana Jijini Mwanza. Disemba 11,2019.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi  Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally Mohamed Sheini pamoja na Makamu wa Rais Mhe. SamiaSuluhu Hassan Mara baada ya Kikao cha Kamati  Kuu ya Halmashauri  Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza jana Disemba 11,2019.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally alipowasili kwaajili ya Kikao cha Kamati  kuu ya Halmashauri  Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza jana Disemba 11,2019.

Mwenyekiti wa  Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally mara  alipowasili kwa ajili ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza jana Disemba 11,2019.

 

PICHA NA IKULU


    

No comments