Ads

Habari Picha: Mwenyekiti wa (CCM) Rais John Pombe Magufuli afungua kikao cha majadiliano cha Chama cha Mapinduzi (CCM) NEC kilichofanyika Jijini Mwanza jana Desemba 12,2019


Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 nakuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 nakuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025 kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM Taifa (NEC) wa kimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha MapinduziTaifa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha MapinduziTaifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar RaisDkt. Ally Mohamed Sheini wakiimba wimbo wa Chama na Wajumbe wengine katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya  uchaguzi mkuu ya 2015 nakuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika JijiniMwanza. Disemba 12,2019.

Rais waJamhuri ya Muungano waTanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa katika hafla ya ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji  wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe  akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama na Serikali wa Mkoa wa Mwanza wakati wa Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 nakuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga Wajumbe wa Halmashauri  Kuu  ya CCM Taifa (NEC) mara baada ya  Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya uchaguzi mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini  Mwanza. Disemba 12,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar RaisDkt. Ally Mohamed Sheini, Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally katika picha ya pamoja na Viongozi wengine wa Chama mara baada ya Kikao cha ufunguzi wa Majadiliano cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chenye lengo la kupokea utekelezaji wa Serikali Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya 2015 na kuandaa Ilani ya Chama hicho 2020 -2025  kilichofanyika Jijini Mwanza. Disemba 12,2019.

PICHA NA IKULU

    

No comments