Mapitio ya baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Desemba 25, 2019!
Asalaam Aleykum Mwanazengo na nakutakia Sherehe njema za Noeli na Mwaka Mpya wewe na familia yako pendwa! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima! Tafadhali ukaribie kusanifu kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya leo Desemba 25, 2019!
Good, big picture frames, readable text, but lack newspaper in English language
ReplyDelete