Ads

SALAAM ZA KRISMASI ZA MAMA KUTOKA MTONI NI MALKIA ELIZABETH II !

Nawaletea Salaam za Krismas za Mama kutoka Mtoni ni Malkia Elizabeth II wa Uingereza! Tulipenda kuita Uingereza enzi zetu kwa Mama Mtoni! Mtoni ni Ulaya siku hizi mnaita Majuu na Unyamwezini!


No comments