MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMANNE DESEMBA 31, 2019
Asalaam Aleykum Mwanazengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Dar es Salaam au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Desemba 31, 2019. Leo ni siku ya kazi ikiwa ni Jumanne ya mwisho ya mwaka 2019! Nakutakia Jumanne njema na wakati huo huo HERI YA MWAKA MPYA WA 2020 !
Post a Comment