Ads

Mwalimu awashushua Waandishi Habari kuhusu utayari wa Uhuru kwa Bara la Afrika! Mahojiano ya 1963!

Hapa Mwalimu J.K
Nyerere anajibu swali kuhusu kama nchi za Afrika zenye kudai uhuru kama ziko tayari kunufaika na uhuru wanaopigania! Wakati huo nchi kadhaa za Afrika zilikuwa zishapata uhuru zikiongozwa na zile za Afrika Magharibi mbili za kwanza ambazo ni  Ghana (1957) na Guinea Conakry (1958)!


No comments