Ads

Rais Dkt Magufuli aongoza Mapokezi ya Ndege mpya ya DE Havillanda DASH8-400 Jijini Mwanza


    

Ndege mpya aina ya DE Havilland DASH8-400 ikipokelewa kwa saluti ya maji na Kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ilipotua Uwanja wa Ndege wa Mwanza ikitokea Canada na kupokelewa na maelfu ya Wananchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Jumamosi Desemba 14, 2019

Ndege mpya aina ya DE Havilland DASH8-400 ikipokelewa Kwa saluti ya maji na kikosi cha Jeshi la Zimamoto na uokoaji ilipotua Uwanja wa Ndege wa Mwanza ikitokea Canada na kupokelewa na maelfu ya Wananchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli jana Jimamosi Desemba14, 2019

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe .Samia Suluhu Hassan pamoja na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donnell na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuipokea  rasmi ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 Katika uwanja wa ndege Mwanza jana jumamosi 14,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan pamoja na Balaozi wa Canada nchini Mhe Pamela O’Donell na Mkewe Mama Janeth Magufuli akiwapongeza kwa furaha Marubani Wazalendo waliondesha ndege mpya ya DEHavilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza jana Jumamosi Desemba 14, 2019.

Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzani Dkt.John Pombe na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwapongeza kwa furaha Marubani Wazalendo walioendesha ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza jana Jumamosi Desemba14 ,2019. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Wafanyakazi wa ATCL wakati wa mapokezi ya ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza jana Jumamosi 14, 2019.
Ndege mpya kabisa aina ya DE Havilland DASH8-400 baada ya kuwasili kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza Jumamosi Desemba 14, 2019.

No comments