Ads

Rais Dkt .Magufuli Aongoza Sherehe za Miaka 58 Uhuru na Miaka 57 ya jamhuri katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza

    

Muonekano wa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri zilizoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu December 9, 2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM kirumba Jijini Mwanza kuongoza Sherehe za Miaka 58 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea heshima baada ya kuwasili katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kuongoza Sherehe za miaka ya 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua qwaride la heshima katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza katika Sherehe za miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea kikakamavu kuelekea Jukwaa kuu  baada ya kuikagua qwaride la heshima uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza Katika Sherehe za miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri leo Jumatatu December 9, 2019

No comments