Ads

WANACHAMA WA TANZANIA TOUR OPERATORS ASSOCIATION WAKUTANA ARUSHA KUPANGA MIKAKATI YA KUVUTIA WATALII KUTOKA CHINA.





Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Nchini Bi Devotha Mdachi akizungumza katika mkutano wa Wanachama wa Tanzania Tour Operators Association (TATO)  Jijini Arusha



Balozi wa Tanzania nchini China  Mbelwa Kairuki akizungumza katika mkutano wa Wanachama wa Tanzania Tour Operators Association (TATO)  Jijini Arusha

Wanachama wa Tanzania Tour Operators Association (TATO) wakutana Jijini Arusha kupanga mikakati ya kuvutia watalii kutoka China. Mkutano huo umehudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini China  Mbelwa Kairuki na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Nchini(TTB) Jaji Thomas Mihayo na Mkurugenzi wa TTB Bi Devotha Mdachi


No comments