TANZANIAN SELECTED PRINT MEDIA PREVIEW OF JULY 28, 2020(MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMANNE JULAI 28, 2020).
HAYATI MZEE BENJAMIN WILLIAM MKAPA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU TANZANIA KUAGWA LEO RASMI KITAIFA UWANJA WA UHURU KABLA YA MWILI WAKE KUSAFIRISHWA LEO MCHANA KWENDA LUPASO MASASI AMBAKO ATAZIKWA KESHO.
PUMZIKA KWA AMANI EEH BEN WETU KIPENZI -AMINA!
Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Julai 28, 2020. Leo ni Jumanne siku ya kazi! Nakutakia KAZI NJEMA !
FOR FURTHER INFORMATION AND BUSINESS ENQUIRIES PLEASE CONTACT THE FOLLOWING MOBILE NUMBERS:
+255713415038/786948692/757224489
EMAIL: maezhabari@gmail.com
Post a Comment