MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO IJUMAA JANUARI 17, 2020
Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 17, 2020. Leo ni Ijumaa ambayo kwa uhakika ni ya tatu kwa mwaka mpya wa 2020! Nakutakia Kazi Njema na Jumaa Mubarak!
Post a Comment