MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMAPILI JANUARI 26, 2020
Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 26, 2020. Leo ni Jumapili ambayo kwa uhakika ni ya nne kwa mwaka mpya wa 2020! Nakutakia Jumapili Njema!
Post a Comment