MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMAMOSI JANUARI 04, 2020
Asalaam Aleykum Mwanazengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 04 , 2020. Leo ni wikendi siku ya Jumamosi ambayo kwa uhakika ni ya kwanza kwa mpya mwaka wa 2020! Nakutakia Jumamosi njema na pia kishuhudia: ' MPAMBANO SAFI WA KANDANDA VPL BAINA YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA'! LEO NANI ATALALA MAPEMA NA NANI ATAKESHA BILA YA SHAKA DAKIKA 90 ZA MTANANGE ZITAAMUA!
Post a Comment