Marais Wastaafu Mhe. Benjamin Mkapa na Mhe. Jakaya Kikwete walipowasili jijini Nairobi kwa ajili ya Mazishi Rasmi ya Rais Mstaafu wa Kenya, Marehemu Daniel Arap Moi.
Rais Mstaafu awamu ya tatu Mzee Benjamin Mkapa akiweka saini katika kitabu cha maombolezi.
Rais Mstaafu awamu ya nne Mzee Jakaya Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezi.
Post a Comment