RAIS DK. MAGUFULI AMTEMBELEA KUMJULIA HALI MZEE MANGULA AMBAYE AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO FEBRUARI 29, 2020
Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akimjulia hali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula katika chumba cha uangalizi maalum katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, leo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, Gerson Msigwa imesema Mzee Mangula alipelekwa katika Hospitali hiyo jana baada ya kuugua ghafla.
Rais akizungumza na Mzee Mangula
Rais akifanya Sala ya pamoja na Mzee Mangula
(Picha zote na Ikulu)
Post a Comment