DK KAANAEL KAALE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO KILIMANJARO KUPITIA CCM
Na Richard Mwaikenda
Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Saut, Dk. Kaanael Kaale akirejesha fomu leo baada ya kuzijaza kuomba kugombea ubunge Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anayepokea kushoto ni Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Vijijini, Mariam Kaaya.
Post a Comment