Ads

PAPARAZI MKOTYA ATIA NIA KUGOMBEA JIMBO LA CHEMBA!



Mimi *Khamis Suleiman Mkotya* mzaliwa wa Kijiji cha Mrijochini Kata ya Mrijo Tarafa ya Goima Wilaya ya Chemba ni mtia nia wa nafasi ya ubunge Jimbo la Chemba 2020 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Allah akijaalia panapouzima na uhai muda ukifika nitachukua fomu kulingana na ratiba ya chama Kidumu Chama Cha Mapinduzi !


No comments