Ads

MATUKIO MUHIMU TRL KATIKA PICHA KWA MWAKA 2016 - 7


MKUTANO WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA TRL ULIOFANYIKA UKUMBI WA ZIMAMOTO TPA 

NOVEMBA 17-18, 2016 KATIKA PICHA..


Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Wafanyakazi(BKW) la TRL Nd Masanja Kungu Kadogosa akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Baraza hilo na kuwakaribisha Wajumbe kutoka mikoani Jijini Dar es Salaam hapo Novemba 17, 2016

Mjumbe kutoka Morogoro Mhandisi Steven Kavombwe wa BKW akitoa mchango wake..

Mjumbe kutoka Tabora akitoa maoni yake kuhusu ajenda inayojadiliwa.

Mwenyekiti wa BKW na wasaidizi wake waandamizi akifuatilia majadiliano kwa makini

Mjumbe Lymo kutoka Tanga akitoa mchango wake katika kikao cha BKW

Kikao cha BKW kikiendelea chini ya uenyekiti wa Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa..

No comments