MKUTANO WA PROFESA MAKAME MNYAA MABARAWA WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
NA WANARELI NOVEMBA 16, 2016 KARAKANA YA DAR ES SALAAM.
|
Profesa Makame Mnyaa Mbarawa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kabla ya kuwahutubia Wanareli alitembelea sehemu mbalimbloi za karakana kukagua kazi zinazoendelea..! |
|
|
Profesa Makame Mnyaa Mbarawa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akitoa maoni yake katika kitengo kimojawapo cha karakana alipokagua shughuli za Karakana ya Dar Novemba 16, 2016 |
|
|
Profesa Makame Mnyaa Mbarawa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano akiwahutubia kwa mara kwanza Wabnareli wa Dar es Salkaam katika ukumbi wa Karakana ya Dar es Salaam Novemba 16, 2016. |
|
Mwanareli Gwamaka Mwakangale akitoa maoni mbele ya Waziri |
|
Kiongozi wa muda mrefu wa Trawu Mwanareli Sheikh Shuhghuli naye akitoa maoni mbele ya Waziri |
|
Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa akitoa taarfa mbele ya Wanareli kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi Profesa John Kondoro ili amkaribishe Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuwahutubia Wanareli Karakana ya Dar Novemba 16, 2016.
|
|
Mwenyekiti wa Bodi Profesa John Kondoro akitoa nasaha zake kabla ya kumkaribisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuwahutubia Wanareli Karakana ya Dar Novemba 16, 2016. |
Post a Comment