MATUKIO MUHIMU TRL KATIKA PICHA KWA MWAKA 2016 - 8
ZIARA YA WAZIRI MKUU KATIKA KIWANDA CHA KILUWA STEEL WORKS GROUP CHA MLANDIZI KUKAGUA MIUNDO MBINU YA RELI ILIYOJENGWA NDANI YA KIWANDA
NOVEMBA 19, 2016 KATIKA PICHA..
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa mara tu alivyowasili katika kikwanda cha Chuma cha Kiluwa Steel Group Mlandizi mkoani Pwani. |
Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa akitoa taarifa ya TRL mbele ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa |
Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa akitoa taarifa ya TRL mbele ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa na Wananchi wa Mlandizi. |
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelezo ya Wizara mbele ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa na Wananchi wa Mlandizi. |
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akiwahutubia Wananchi wa Mlandizi baada ya kukagua kiwanda cha Kiluwa Steel Works. |
Treni ya TRL ikiwa tayari ndani ya Kiwanda cha Kiluwa Steel Works Mlandizi |
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akiongozana na viongozi wa Wizara Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na Mkoa wa Pwani kukagua miundo mbinu ya reli kiwandani Kiluwa Steel Works Mlandizi Novemba 19, 2016. |
Post a Comment