MATUKIO MUHIMU TRL KATIKA PICHA KWA MWAKA 2016 - 9
MKUTANO WA KWANZA WA BODI MPYA TRL WAFANYIKA DISEMBA MOSI, 2016 !
| Mwenyekiti wa Bodi Profesa John Wajanga Kondoro akiongoza kikao cha kwanza cha Bodi Mpya ya TRL hapo Disemba Mosi , 2016 |
| Kikao cha Bodi ya TRL kikiendelea.. |
|
| Mwanasheria wa TRL Wakili Anjelista Makundi akitoa ushauri wa kisheria katika kikao cha Bodi ya TRL |
| Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa akisoma taarifa ya uitendaji wa TRL katika kikao cha Bodi |
| Utoaji taarifa ya utendaji wa TRL katika kikao cha Bodi waendelea... |
| Mjumbe wa Bodi Wakili Martha Maeda akitoa maoni yake katika kikao cha Bodi |
| Watendaji waandamizi wa TRL akiwemo Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Nd Focus Sahani wakifuatilia kikao cha Bodi |
| Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa akifuatilia ufafanuzi wa Wakili Anjelista Makundi katika kikao cha Bodi Desemba 01, 2016 |

Post a Comment