HATIMAYE UKARABATI WA DARAJA LA RUVU WAKAMILIKA!
Jioni ya jana Ijumaa Juni 2, 2017 Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa akifuatana na Waandishi wa Habari walishuhudia Wahandisi na Mafundi wa TRL na Rahco wakikamilkisha kazi ya ukjarabati wa daraja mojawapo la reli lililoharibika takriban wikiki tatu zilkizopita.
Treni nyepesi ya ufundi ilipoita taratibu kutoka upande wa kituo cha Ruvu Junction kuja upande wa Kituo cha |Ruvu bila ya mushkeli wowote.
Aidha Mkurugenzi Mtendaji huyo aliwataarifu Wanahabari kuwa kwa mujibu wa Wahandisi wa Reli zoezi litakalo fuata ni kufanya majaribio ya kupitisha treni za mizigo kwa siku zipatazo 3 na baada hya tathmini treni za abiria zitaruhusiwa kupita hapo darajani . Habari zaidi katika picha..

Post a Comment