Ads

MWENYEKITI WA BODI PROFESA KONDORO AUNGANA NA WANARELI KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA NGAZI YA TAASISI !

Jana asubuhi Juni 02, 2017, Mwenyekiti wa Bodi ya TRL Profesa John Wajanga Kondoro akifuatana na Mjumbe wa Bodi Mhandisi Charles Mvungi walishirikiana na Wanareli katika Kituo kikuu cha Reli cha Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani ngazi ya taasisi kwa kufanya maeneo yote ya kituo hicho. Habari zaidi katika picha......



















No comments