MWENYEKITI WA BODI PROFESA KONDORO JUNI 02, 2017 ALITEMBELEA HATUA YA MWISHO YA UKARABATI WA DARAJA LA RUVU !
MWENYEKITI WA BODI PROFESA KONDORO JUNI 02, 2017 ALITEMBELEA HATUA YA MWISHO YA UKARABATI WA DARAJA LA RUVU !
Juni 02, 2017 mchana , Mwenyekiti wa Bodi ya TRL Profesa John Wajanga Kondoro akifuatana na Mjumbe wa Bodi Mhandisi Charles Mvungi walitembelea daraja la reli la Ruvu wakati Wahandisi na Mafundi wa TRL na Rahco wakimalizia kazi ya ukarabati wa daraja hilo . Njia ya reli kati ya Dar es Salaam na Morogoro imefunguliwa rasmi jana saa 3 usiku na wakati taarifa hii ikitolewa treni mbili za mizigo kutoka Dar es salaam zimeshapita katika daraja hilo moja ikibeba shehena ya mahindi ya WFP na ya pili ikibeba shehena ya saruji kutoka kiwanda cha Nyati. Habari zaidi ya ziara ya Mwenyekiti wa Bodi wa TRL katika picha........
Post a Comment