DC APSON AKAGUA MRADI MKUBWA WA UCHENJUAJI MADINI YA SHABA(COPPER) MWANGA
Mwandishi Maalum, Mwanga
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Nd. Tom Apson (wa pili kushoto), akipata maelezo alipotembelea kwa lengo la kukagua Mradi mkubwa wa kuchenjua madini ya Shaba(Copper) uliopo wilayani humo siku ya mkesha wa Krismasi. Licha ya kwamba siku hiyo ilikuwa ni sikukuu ya lakini DC Apson na timu yake aliamua kuchapa kazi kutimiza kauli mbiu ya Wilaya ya KAZI ZAIDI.
DC Apson akiwa na Maofisa wake pamoja na maofisa wa mradi huo.
DC Apson akielekea kukagua mradi huom
Akibadilishana mawazo na baadhi ya Maofisa
Post a Comment