Ads

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA MAADHIMISHO MIAKA 60 YA TANAPA NA NCAA MKOANI MARA




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Rasmi la Jeshi Usu la Maliasili kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika jana Disemba 23,2019



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika jana Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku Tunzo kwa Pro. Adolfo Mascarenhas kwa kutambua Mchango wake Mkubwa katika kutunza na kutangaza Hifadhi za Taifa kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika jana Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunuku Tunzo kwa Deogratius Chami kwa niaba ya Makundi ya watu wenye Mahitaji Maalum kwa kutambua Mchango wao Mkubwa katika kutunza na kutangaza Hifadhi za Taifa kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika jana Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Kasha la Wakati la kuhifadhia kumbukumbu za nyaraka za Hifadhi za Taifa wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika jana Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua Minara Miwili ya kumbukumbu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika jana Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.



Askari wa Jeshi Usu la Maliasili wakionesho Onesho la kupambana na Ujangili wakati Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yaliyofanyika jana Disemba 23,2019 katika Uwanja wa Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.


No comments