Ads

WATANZANIA TUSHEREKEE SIKUKUU YA KRISMAS KWA AMANI NA UPENDO MKUBWA - RAIS MAGUFULI

Jumapili, Desemba  22, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia mtoto Zioni nje ya kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita mara baada ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote. Disemba 22, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote.  Disemba 22, 2019.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Desemba, 2019 ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Chato Mkoani Geita kusali Dominika ya 4 ya Majilio na ametumia nafasi hiyo kuwatakia heri ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote.  Disemba 22, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote.  Disemba 22, 2019.

Katika salamu hizo, Mhe. Rais Magufuli amesema tunapoelekea katika sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Wakristo na Waumini wa madhehebu mengine mbalimbali wanalo jukumu la kuendelea kuombea amani, upendo na umoja kwa wanadamu wote bila kubaguana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kupokea Sakramenti Takatifu, alipoungana na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote. Disemba 22, 2019.

“Niwaombe ndugu zangu wa Chato na Watanzania kwa ujumla, tusherehekee sikukuu ya Krismasi kwa amani na upendo mkubwa, lakini pia tuukaribishe Mwaka Mpya kwa amani na upendo mkubwa wa Kristo, mwaka unaokuja uwe mwaka wa mafanikio, uwe mwaka wa maendeleo, uwe mwaka wa kujenga umoja wetu kwa Watanzania wote, uwe mwaka wa amani na upendo na uwe mwaka wa kuendeleza Taifa letu katika maendeleo ya kweli” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kupokea Sakramenti Takatifu, alipoungana na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote. Disemba 22, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini  wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakati wa  Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote . Disemba 22, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Padre Henry Mulinganisa Paroko wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita nje ya kanisa hilo mara baada ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote. Disemba 22, 2019.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli amewapongeza Waumini wa Parokia ya Bikira Maria Chato kwa kazi kubwa ya upanuzi wa Kanisa wanayoendelea nayo ambayo naye alichangia upanuzi wake mwaka 2016.

Misa Takatifu hiyo imeongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Henry Mulinganisa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Padre Henry Mulinganisa Paroko wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita alipozungumza na Waumini wa Kanisa wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko huyo, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote . Disemba 22, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini  wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakati wa  Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote . Disemba 22, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini  wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakati wa  Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote . Disemba 22, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Padre Henry Mulinganisa Paroko wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita nje ya kanisa hilo mara baada ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote. Disemba 22, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Waumini nje ya kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita mara baada ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote. Disemba 22, 2019.PICHA NA IKULU

No comments