Ads

PUMZIKA KWA AMANI JAJI MARK BOMANI!

Katika kumkumbuka Mwanasheria Mkuu wa kwanza Mzalendo Jaji Mark Bomani aliyefariki jana Septemba 10, 2020, Mwenyikiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri(TEF) Absalom Kibanda anaandika hivi:

RIP Jaji Mark Bomani. Huyu ndiye hasa aliyetuwezesha kwa mara ya kwanza TEF kuja na wazo la Retreat na Mkutano wetu wa kwanza Arusha Julai 15, 2011 ambao yeye kupitia Serengeti Breweries aliudhamini tulikuja na Azimio la 'Responsible Journalism' ambalo andiko lake liliingia katika kitabu cha hotuba ya aliyekuwa Waziri wa Habari wakati ule Emmanuel Nchimbi. Pumzika kwa Amani Jaji Mark Bomani.


No comments