MAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI NA MAJARIDA YA LEO JUMAMOSI JANUARI 11, 2020
Asalaam Aleykum Mwananzengo! Hii ni Dar es Salaam wengine wanaiita Bandari ya Salama au hata Mzizima ! Tafadhali karibu tusanifu kurasa za mbele na za nyuma za baadhi ya Magazeti na Majarida ya Tanzania leo Januari 11 , 2020. Leo ni wikendi siku ya Jumamosi ambayo kwa uhakika ni ya pili kwa mpya wa 2020! Nakutakia Jumamosi njema!
Post a Comment